Mgao wa umeme kwa saa 8 badala ya 12 Zambia. Raia wa Zambia sasa watashuhudia kukatika kwa umeme kwa saa nane badala ya saa 12 kwa siku, waziri wa nishati ametangaza, akihusisha mabadiliko hayo na kuongeza uwezo. Read more about Mgao wa umeme kwa saa 8 badala ya 12 Zambia.