Singida Big Stars yaitambia Simba
Uongozi wa klabu ya Singida Big Stars umejinasibu kupata ushindi na kuondoka na alama 3 mbele ya kikosi cha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania unaotaraji kuchezwa Ijumaa Februari 3, 2023 kwa wanajivunia sajili za wachezaji wapya walizozifanya.