Mvutano wa Rwanda na DRC wachukua sura mpya

Jeshi la DRC limesema kwa sababu za kiusalama limewaamuru kuondoka nchini humo maafisa wa Rwanda waliokuwa wanachama wa Kamandi ya Vikosi vya Kanda ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyoko Goma, DRC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS