Watumishi wazembe hatutawavumilia - Waziri Ummy Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa mwaka huu serikali haitakuwa na msamaha kwa mtumishi yoyote ambaye atakwenda kinyume na miongozo na ambaye hatozingatia maadili na weledi katika utumishi wake Read more about Watumishi wazembe hatutawavumilia - Waziri Ummy