Marekani kutoipa ndege Ukraine. Rais wa Marekani Joe Biden Rais wa Marekani Joe Biden amefutilia mbali uwezekano wa kutuma ndege za kivita za F-16 nchini Ukraine, licha ya wito mpya kutoka kwa maafisa wa Ukraine wa kuomba msaada wa ulinzi wa anga. Read more about Marekani kutoipa ndege Ukraine.