Kutana na kijana aliyebeti na kupoteza milioni 233
Video imesambaa mitandaoni ikimuonesha Jonathan Kusi wa nchini Ghana, aliyewahi kuhudumu kama mweka hazina wa kanisa akieleza namna alivyopoteza dola za Kimarekani 100,000, sawa na zaidi ya milioni 233 za Kitanzania kupitia michezo ya kubashiri yaani kubeti.