Watakaoenda zaidi ya saa10 kutopiga kura

Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Siku mbili kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wananchi wametakiwa kufika mapema kwenye vituo ili waweze kupata haki yao ya msingi ya kupiga kura kwani endapo watafika zaidi ya saa10 jioni hawatopata nafasi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS