Prisons yaahidiwa Milioni 30 ikiifunga Simba

Klabu ya Tanzania Prisons SC yawekewa Tsh. Milioni 30 endapo kama wataifunga Simba SC kwenye mchezo wa Ligi kuu NBC,utakaopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Desemba 30, 2022 majira ya saa moja usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS