Wanaolima bangi Geita kusakwa Kaimu Mkuu wa wilaya ya Nyanghwale mkoani Geita Fabian Sospeter ametangaza operesheni ya kuwasaka na kuwakamata watu wote wanaovamia hifadhi ya msitu wa serikali wa Miyenze na kulima zao haramu la bangi Read more about Wanaolima bangi Geita kusakwa