Wataka wanaume watolewe kwenye rasimu ya ukatili
Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi nchini umeiomba serikali kufanya marekebisho ya rasimu ya mpango kazi wa Taifa wa kutokomeza ukatili kwa wanawake, watoto na wanaume wa mwaka 2023-2027 kwa kuondoa neno wanaume katika rasimu hiyo.