Maagizo vituo vya mafuta vilivyokiuka kanuni

Waziri wa Ardhi Angelina Mabula

Waziri wa Ardhi Angelina Mabula amesema, serikali inakwenda kuchukua hatua za kisheria kwa wamiliki wa vituo vya mafuta ambao walivijenga mara baada ya kanuni kuanza kutumika mwaka 2018 huku akieleza kwamba wale ambao walijenga kabla ya kanuni hizo kuwekwa wao hawatachukuliwa hatua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS