Rufaa ya DPP dhidi ya Sabaya kusikilizwa 2023

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imepanga Januari 17,2023 kuendelea kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS