Helikopta mbili zagongana angani Australia Watu wanne wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana angani karibu na Seaworld kwenye pwani ya Australia ya Gold Coast Read more about Helikopta mbili zagongana angani Australia