China yaondoa sharti la wasafiri kukaa karantini
Serikali ya China imesitisha sharti lake la kukaa karantini siku nane kwa wasafiri wote wanaoenda nchini humo kuanzia Januari 8, 2023, na badala yake wanatakiwa kupima Uviko-19 masaa 48 kabla ya safari.