UWT Mbeya wampa tuzo Rais Samia
Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Mbeya, wamemkabidhi tuzo ya heshima Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ikiwa ni hatua ya kutambua mchango wake katika kuwaletea maendeleo na amani na utulivu nchini