Waziri asisitiza Watanzania kutembelea vivutio
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt Pindi Chana, ameendelea kuhamasisha wananchi kutembelea vivutio vya utalii vilivyo katika maeneo mbalimbali hapa nchini katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.