Andre Onana astaafu kuchezea Cameroon

Mlinda Mlango Andre Onana

Golikipa wa Cameroon, Andre Onana ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa leo Ijumaa Disemba 23 baada ya kuchezea taifa hilo maarufu kama Indomitable Lions michezo 34.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS