Mchekeshaji wa Kenya Gibson Gathu afariki dunia Mwigizaji maarufu wa vichekesho wa kipindi cha "Vioja Mahakamani" kinachorushwa na runinga ya KBC cha Kenya Gibson Gathu Mbugua, almaarufu 'Kiongozi wa Mashtaka', amefariki dunia. Read more about Mchekeshaji wa Kenya Gibson Gathu afariki dunia