Kikwete feki akamatwa Dar es salaam

Jeshi la Polisi limemkamata, Joseph Mzava (19) mkazi wa Kinondoni Dar es Salaam, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo cha Biashara Dar es Salaam (CBE), kwa tuhuma za kujinasabisha kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na  kufanikiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mtandao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS