BASATA wafunguka walichomuitia Dulla Makabila
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wamefunguka walichomuitia msanii wa singeli Dulla Makabila kuhusu wimbo wake mpya ya 'Pita huku' wakisema neno la 'Shoga' lililotumika kwenye wimbo huo ndio limezua taharuki.