Polisi Kagera wajipanga kuelekea uchaguzi Jeshi la polisi mkoa wa Kagera limepokea magari matano kwa ajili ya kuimarisha Usalama mkoani humo katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Read more about Polisi Kagera wajipanga kuelekea uchaguzi