Usajili NIDA sasa kwa njia ya mtandao Vitambulisho vya NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imetangaza rasmi kuanza kwa usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa njia ya mtandao, ili kupunguza msongamano wa watu katika ofisi za usajili ngazi ya wilaya. Read more about Usajili NIDA sasa kwa njia ya mtandao