Simba yarejea Dar,wachezaji wapewa mapumziko Kikosi cha Simba kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka Mwanza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC katika Uwanja wa CCM Kirumba jana. Read more about Simba yarejea Dar,wachezaji wapewa mapumziko