Urusi yatoa msaada wa ndege za kijeshi nchini Mali Nchi ya Mali imepokea usafirishaji wa ndege za kivita na helikopta kutoka Urusi huku Moscow ikizidisha ushiriki wake nchini humo. Read more about Urusi yatoa msaada wa ndege za kijeshi nchini Mali