Heri ya miaka 63 ya Uhuru

Tunasherehekea historia yetu, tunaheshimu mashujaa wetu, na tunaendeleza maono ya taifa lenye amani, umoja na maendeleo. Uhuru wetu si tu urithi wa historia, bali ni wajibu wa kizazi hiki na vijavyo. Tuendelee kujenga Tanzania yenye matumaini, mshikamano na mafanikio. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS