Simbachawene ampongeza Mwalimu aliyeongeza ufaulu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu George Simbachawene, amempongeza Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Iramba Yasinta Chipanjile, kwa kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba.