Watakiwa kupanga kilimo cha matokeo ya haraka
Wakati Mkoa wa Kagera ukitajwa kuwa miongoni mwa mikoa ya mwisho katika umaskini, maafisa kilimo wametakiwa kukaa na kupanga ni kilimo cha mazao gani kitaleta matokeo ya haraka ya kiuchumi kwa wananchi hasa vijana, lengo likiwa ni kuhakikisha uchumi wa mkoa unapanda kupitia sekta hiyo