Balozi Mushy kuzikwa Disemba 20 Mwili wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy unatarajiwa kuzikwa Jumanne Disemba 20, 2022 nyumbani kwake Moshi mkoani Kilimanjaro Read more about Balozi Mushy kuzikwa Disemba 20