Nigeria kutoahirisha uchanguzi mkuu Uchaguzi mkuu wa Nigeria utaendelea kama ulivyopangwa Februari 25 mwaka huu licha ya wasiwasi kuhusu kuahirishwa kwa uchaguzi kwa sababu ya ukosefu wa usalama katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, Read more about Nigeria kutoahirisha uchanguzi mkuu