Wapewa mwezi mmoja kituo cha afya kikamilike
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dk Festo John ametoa mwezi mmoja kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha afya cha Magoma kilichopo kata ya Binagi Halmashauri ya Tarime Mkoani Mara