Nyota 10 World Cup wageuka lulu kwenye usajili
Michuano ya kombe la dunia huko Qatar inaelekea ukingoni kwa michezo miwili pekee kusalia, Jumamosi ya Disemba 17 tukitegemea kushuhudia mchezo wa kuwania mshindi wa tatu katika ya Croatia na Morocco pamoja na ule wa Fainali siku ya Jumapili ya Disemba 18 baina ya Argentina na Ufaransa.