Muhimbili inafanyiwa maboresho - Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kufanya maboresho makubwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo karibuni imetoa fedha kwa ajili kununua vifaa vya kisasa ikiwemo MRI