Shule Dar yakaribiana na makaburi

shule ya sekondari Boko Mtambani

Wanafunzi wa shule ya sekondari Boko Mtambani iliyoko Kinondoni jijini Dar es Salaam, wako hatarini kupata matatizo ya kisaikolojia kutokana na kukosekana kwa uzio kati ya madarasa ya shule hiyo na makaburi yaliyokaribu sana na madarasa hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS