UNHCR na Mahakama kuu kuendesha kesi kimtandao
Shirika la kimataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwa kushirikiana na Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma imezindua mpango wa pamoja wa kuhakikisha vifaa vya TEHAMA vinapatikana kwa mahakama zote za wilaya kwa lengo la kuwezesha utatuzi wa kesi mbalimbali kwa njia ya mtandao