Paroko kizimbani kwa tuhuma za wizi

Paroko wa Parokia ya Haydom  jimbo la Mbulu mkoani Manyara Bartazari Margwe Sule (63) amefikishwa katika mahakama ya mkoa wa Manyara kwa tuhuma za kuiba zaidi ya shilingi milioni 20 kwenye akaunti ya kaka yake Dionice Margwe Sule ambaye inadaiwa kuwa ni mgonjwa wa kupoteza kumbukumbu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS