Mwandishi TBC afariki akishuka Mlima Kilimanjaro
Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Manyara, Joachim Kapembe, amefariki dunia jana Desemba 13, 2022, alipokuwa akishuka kutoka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.