Balozi Mushy alikuwa mwalimu wangu -Balozi Kairuki
Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki amesema moja ya watu waliomfundisha masuala ya diplomasia ni aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy ambaye amefariki mwanzoni mwa wiki hii