Mtoto wa miaka 9 anusurika kuliwa na mamba. Mashambulizi ya mamba ni ya kawaida katika mito mikubwa ya Msumbiji Mtoto wa miaka tisa amenusurika kifo kutokana na shambulio la mamba katika wilaya ya Chibuto katika mkoa wa kusini mwa Msumbiji wa Gaza. Read more about Mtoto wa miaka 9 anusurika kuliwa na mamba.