Aliyefunga siku 30 akutwa amefariki Geita Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja halmashauri ya mji Geita amekutwa amefariki ndani kwake akiwa kwenye mfungo wa siku 30 akitarajia kufufuka Desemba 8 Read more about Aliyefunga siku 30 akutwa amefariki Geita