Mawakala na wamiliki wa mabasi Arusha waonywa

Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha SP Solomon Mwangamilo

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha usalama barabarani mkoani humo, limewaonya baadhi ya mawakala wanaopandisha nauli kiholela kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kuwa halitowafumbia macho wao pamoja na wamiliki wa magari hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS