Waliochoma vitu vya wakulima wapanda kizimbani
Watu 10 Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wamefikishwa mahakama ya wilaya ya Kiteto kwa makosa 14 likiwemo kuteketeza trekta kwa kukata matairi, kuweka chumvi kwenye injini na kuchoma vibanda vya wakulima wa Kijiji cha Engong’ongare Kata ya Lengatei