"Walio tayari kukaa vijijini waajiriwe"- Masanja
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amesema kuwa ili kuwafanya walimu wabaki katika vituo vya kazi bila kuhama, ni vyema ajira za walimu zinapotoka kipaumbele kiwe kwa wale walio tayari kufanya kazi vijijini.