Raia wa kigeni watimuliwe Tanzanite One - Waziri

Waziri wa Nishati na Madini, Mh. George Simbachawene

Waziri wa Nishati na Madini Mh. George Simbachawene ameuagiza uongozi wa Kampuni ya Tanzanite One ya Mjini Arusha uwatimue kazi raia 30 wa kigeni waliajiriwa katika kampuni hiyo kama wataalamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS