Al Hilm mpira wa Nusu Fainali Kombe la Dunia

Mpira rasmi utakaotumika kwenye Nusu Fainali na Fainali Kombe la Dunia 2022

Shirikisho la soka Duniani FIFA limetambulisha mpira rasmi utakaotumika kuanzia hatua ya Nusu Fainali hadi fainali ya michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar unaojulikana kama 'Al Hilm' ikimaanisha ndoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS