Kambi ya Twiga Stars Zanzibar yaahirishwa
Kocha wa Timu ya Twiga Stars Rogasian Kaijage amesema, kikosi chake kitaendelea kuweka kambi jijini Dar es salaam kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya All African Games kutokana na ratiba ya kambi hiyo kuwekwa visiwani Zanzibar kuahirishwa.