Mjerumani aliyetekwa nyara kwa miaka 4 aachiwa. Mfanyakazi wa misaada nchini Ujerumani ameachiliwa huru ikiwa ni zaidi ya miaka minne na nusu baada ya kutekwa nyara nchini Niger, kwa mujibu wa shirika la misaada la Ujerumani la Help. Read more about Mjerumani aliyetekwa nyara kwa miaka 4 aachiwa.