Dirisha la Usajili Soka Bara kufungwa kesho Dirisha la Usajili kwa wachezaji wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Ligi Daraja la kwanza (FDL), na Ligi Daraja la Pili (SDL) linatarajiwa kufungwa kesho saa sita usiku. Read more about Dirisha la Usajili Soka Bara kufungwa kesho