Hukumu ya Zumaridi kutolewa Desemba 22/2022

Hatma ya Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wafuasi wake nane kufungwa gerezani au kuachiwa huru katika kesi ya jinai namba 10/2022 itajulikana Desemba 22 mwaka huu baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS