11 wafikishwa mahakamani kwa wizi wa dawa
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kuwafikisha mahakamani watu 11 kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa dawa na vifaa tiba katika maeneo ya kutolea huduma za afya na kupelekea wananchi kukosa dawa kwa wakati