George Mpole huru,amalizana na Geita Gold Klabu ya soka ya Geita Gold umefikia maridhiano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa mchezaji wao George Enock Mpole kuanzia leo Disemba 7 ,2022. Read more about George Mpole huru,amalizana na Geita Gold